Team le mutuzi watupiana maneno na team ukweli na uwazi

Team le mutuzi watupiana maneno na team ukweli na uwazi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Ilianza Hivi:

Teamukwelinauwazi

3 days ago
Huyu Lemutuzi nae ni mbulula wa kwanza Tanzania kama wewe kweli hawa ni superfriends zako unashindwaje sasa kuwaweka chini ukaongea nao na ukajua chanZo cha ugomvi wao na mwisho ukawasuluhisha !! Nakuona unaegemea upande wa wema ! Kwani alikwambia nani kua ukimsaidia mtu ndio umnyenyekee kama mungu wako hata kama akifanya makosa basi umchekee tu kiiiisa huna sauti eeeeti kwa sababu tu amekusaidia huo ni utumwa!!! Heshima ni kitu cha Bure ndio maana tunaambiwa muheshimu mdogo nae atakuheshimu! Juzi tumeona interview Ya kajala na mwanae kajala kaongea vizuri sana sio kwamba kasahau wema aliotendewa la hasha na kasema hata amlioe mabiliini si kitu !! Yaliyopo nyuma Ya pazia ni mengi ukweli wa chanZo cha ugomvi wao wanaujua wenyewe!! Sasa wewe lemutuz na mtumbo wako peleka huko gym mtu mzima wewe ovyoo sana na hizo system zako !! Kwanza ile Harusi yako uliojigamba haina muchango imeishia wapi ??? Huyo mchumba yuko wapi maana kila siku kupiga picha na bebez Za watu !! Eti ooh bahari baharia utakua wewe meli ikipinduka utahemea wapi kama nakuona utakavyotapatapa ndani Ya Maji .. Ukimkuta kwenye kumbi Za starehe sasa anavyojinadi ooh mi hinijui Mimi ndio lemutuz uliza mjin hapa nafahamika sana !! Nyooo huna haya mwanaume mzima uache kutulia na familia kutwa unakesha kutafuta umbea tutokee hapa na jasho la mchicha pori...

Ikafuatia Team ya Lemutuz Kutoa Vidonge:

Teamlemutuz TEAMukwelinauwazi naona umeanza kufulia now! Huna mastori ya maana like you used to be, siku hizi TEAMukwelinauwazi imegeuka team penny!! Mnakazi ya kutetea tu kinafiki kila kitu kinachifanywa na team penny hata kama wanafanya uozo!! Kajala ni -------- na mnafiki, najua bibie unamtetea kwa kuwa yuko team penny, but the truth be said kajala mjinga hakumbuki alikotoka hajui siku anaweza kupata janga kubwa zaidi and hao alionao wote watamkimbia, marafiki wenyewe wako nae ili tu kumuumiza wema, hawana upendo wowote!!!! Big up lemutuz kwa kumwambia ukweli si watu wote wenye ujasiri wa kumwambia mtu ukweli pale anapokosea..... waache mburulaazzz waongeee
 
Team ukweli na uwazi kamchamba vizuri Lemutuz yaan kamuambia ukweliiiiii hahhhhha
 
team ukweli nimewakubali wamempa makavu live mtu tatizo limetokea unaegemea upande mmoja bila kujua nyuma ya pazia
 
Team ukweli na uwazi kamchamba vizuri Lemutuz yaan kamuambia ukweliiiiii hahhhhha

ni kweli,hao siri ya ugomvi wao wanaujua wenyewe si busara kwa le mutuz kuingilia upande mmoja,ilibidi awaite wote kama kaka na rafiki na kusuluhisha si kuingilia upande mmoja tu,je wakipatana si ataonekana ..........................................................
 
Ki ukweli hizi team bla blah vs team dash dash ni moja ya upuuzi ambao wabongo tumeuvamia kwa kasi kuonyesha tulivyo malimbukeni wa hizi social networks.
 
Ki ukweli hizi team bla blah vs team dash dash ni moja ya upuuzi ambao wabongo tumeuvamia kwa kasi kuonyesha tulivyo malimbukeni wa hizi social networks.

ni kweli mkuu hzi team ni kuandka upuuz baada ya kumuiga Jide na team anaconda ambavo walifanya vzuri wenzangu na mie waka copy na ku paste kazi yao kusifiana ujinga na kutukana hamna la mana kudadindia treni kwa mbele huko
 
Tena huko IG ndio upuuzi mtupu watu wanatukanana ovyo kabisa kisa hizo team ila naona huo utamaduni unaanza kuingia hapa JF taratibu kuna vi-team vinaanza duh sijui tutakimbilia wapi.
 
Duniani bado kuna matusi siyajui mweee "tutokee hapa na jasho la michicha pori" nimecheka hadi baas
 
Tena huko IG ndio upuuzi mtupu watu wanatukanana ovyo kabisa kisa hizo team ila naona huo utamaduni unaanza kuingia hapa JF taratibu kuna vi-team vinaanza duh sijui tutakimbilia wapi.

Usihifu, humu ban zinafanya tuheshimiane.
Zikianza team ushuzi humu watalimwa ban kuanzia kocha hadi muokota mipira....hahahaaaaaa!
 
Usihifu, humu ban zinafanya tuheshimiane.
Zikianza team ushuzi humu watalimwa ban kuanzia kocha hadi muokota mipira....hahahaaaaaa!

Hahhjahhhs maninaaa siku hiz una manenoooo weyeeee
 
Usihifu, humu ban zinafanya tuheshimiane.
Zikianza team ushuzi humu watalimwa ban kuanzia kocha hadi muokota mipira....hahahaaaaaa!

Haaaaahaa duh nimecheka sana eti BAN kuanzia kocha hadi muokota mipira....hapa recently kuna huu utoto JF wa watu hawataki kukosolewa kabisa ile ukianza tu kumuweka sawa utaona ka-team kake kanakuja kushambulia tena wana utaratibu ule ule wa kuitana kwa ku-mention ID kama IG wakiona wamezidiwa fuatilia utagundua ndio maana mimi sitaki kabisa kuchangia zile thread tata nakwepa misala mie.
 
hata ukimwambia mtu ukweli wanaanza kusema mara wivu mara nini inakuwa hailati mana kuitana na Id wanafikir huku ni IG kukosolewa lazma
 
hata ukimwambia mtu ukweli wanaanza kusema mara wivu mara nini inakuwa hailati mana kuitana na Id wanafikir huku ni IG kukosolewa lazma

Umeonaa eer kutetea ujingaa tuuu lol wanapenda kusifiwaaa tu
 
hata ukimwambia mtu ukweli wanaanza kusema mara wivu mara nini inakuwa hailati mana kuitana na Id wanafikir huku ni IG kukosolewa lazma

Hapa JF kama hautaki kukosolewa usiandike kitu chochote kua msomaji tu nashangaa mtu anakosolewa anajikuta yeye yuko sahihi aaaaggghrrr....!kule IG unafiki mtupu wa kusifiana hata upuuzi natamani JF hii kitu ya teams isiote mizizi.
 
Ingekuwa ukubwa wa mwili ni direct proportional to ukubwa wa akili basi mtoto wa Yohana angekuwa mashallah!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom