Elections 2015 Team Magufuli tukutane hapa tushangilie ushindi!


MwanaDiwani alipambana sana yaani majukumu ya jukwaani na mtandaoni ili kuwaletea watanzania kilicho bora
 
Last edited by a moderator:
Kweli tujipongeze na kuwapongeza waliopigana kiume mpaka rais wetu kuingia magogoni.
 
Na wengi walitudhihaki wakidhani shekeli itashinda ukweli
 
Faiza Foxy huwezi kumuacha katika kundi hili. Yeye alikuwa jembe langu ktk kupambana na mazombie.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umenisahau
 
Last edited by a moderator:
mulifanya kazi nzuri sana,mujikusanye kesho nikawambulishe kwa muheshimiwa pale ikulu
 
mulifanya kazi nzuri sana,mujikusanye kesho nikawambulishe kwa muheshimiwa pale ikulu

Lengo halikuwa hilo. lengo lilikuwa kuhakikisha fisadi, mwizi, mla rusha na mgongwa hatii miguu magogoni
 
Naona tutaendelea kusheherekea kwa miaka mitano na zaidi
 
Duh....watu wako kazini...mashangilio mwisho ilikuwa oktoba 25
 
Imani hujenga imani team magufuli tuliamini kwa mh.raisi kwa yote yale aloyatenda na kusema na anaendelea kujenga imani kwa watanzania na kuthibitisha alokuwa akisema bravo raisi tunaaminia songa mbele umma upo nawe
 
Mkuu idawa bila kukusahau
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…