Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Aiseeh!
Team ya Mbowe Mpaka dakika hii wametepeta. Sijui kama wanajua kama wapo kwenye Kampeni za uchaguzi. Fikiria Mpaka Muda huu hawajaeleza Mbowe Akiwa Mwenyekiti atafanya Jambo gani. Pengine nao hawajui wakipewa nafasi nini watafanya.
Watu wengi waliposikia Mwenyekiti Mbowe anahojiwa walikuwa na shauku kubwa ya kumsikia anampango upi mpya akipewa nafasi lakini Maskini Kwa bahati mbaya Hilo halikutokea.
Mbowe na team yake ni kama imezidiwa kwa mashambulizi na hivyo kama kwenye vita imewapa mgongo washindani wake. Hivyo Team Lisu haipati shida ya kujipigia sehemu yoyote.
Yaani kama kwenye Mpira tunasema Team Mbowe imepaki Basi, inatumia nguvu kubwa kuzuia na kujihami huku Mpira ukichezwa nusu ya uwanja. Kwa Mchezo ulivyo kama ingekuwa Mpira Basi team Mbowe Hapanahapana wataondoka wamebamizwa magoli sio chini ya matano.
Sisi wengine hatuamini katika Mbinu wa kujihami, tunaamini katika Mbinu ya kushambulia kwa adui kadiri inavyowezekana. Yaani hatupendi kumuachia adui nafasi ya kufikiri cha kufanya. Ni Moto tuu.
Mbinu hii ni nzuri na hutumiwa zaidi na wanyama wakali kama Tiger.
Shambulia kutoka Kaskazini,
Akishangaa huku unatuma jingine na jingine kutokea Magharibi, hayajaisha haya umemtumia kifurushi cha mashariki. Mwisho adui anatepeta, amechanganyikiwa hajui azuie wapi, hajui afanye nini.
Anaishia kulalama na kukimbia katika uwanja wa mapambano.
Mbinu ya kushambulia non-stop hutumika zaida na huwa na ufanisi kwenye shambulizi la kushtukiza. Na mara nyingi mbinu hii hufanya Kazi kwa asilimia 90%
Haya!