Pre GE2025 Team Mbowe hadi leo hii hawajawaambia Wanachadema wanaenda kufanya nini wakipewa nafasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Surprised attack Lissu alichanga karata zake vema kabisa kwa kuanza kutia nia nafasi ya umakamo,Mbowe akajua basi kiti Cha ufalme ni chake (business as usual) mara ghafla Wenje anakuja na blabla team Lissu wakajua tayali mtengo umenasa chap chap mpango Kazi uka change kumfuata Mfalme mkuu ambaye alikuwa ame relax.

Na yule wa mkoa wa Mara akaambiwa mfuate yule wa Mwanza ambaye ni dalali wa pesa chafu ndani ya chama.
 
 

Mtego umenasa. Vita imekwisha
 
Mbowe ameifanyia Chadema mambo makubwa sana, ni mtu aliyekosa shukrani anayetamani Mbowe atoke madarakani.
 
Mbowe ameifanyia Chadema mambo makubwa sana, ni mtu aliyekosa shukrani anayetamani Mbowe atoke madarakani.

Atafanya nini?
Aliyoyafanya watu wanayajua.
Ingawaje tangu 2015 ni kama chama kiliingia kwenye changamoto nzitonzito zilizomzidi uwezo
 

Huu ni ukweli na cha ajabu hili swali hawamuulizi Mbowe

Atafanya kitu gani tofauti ya aliyofanya kwa miaka 20? Sasa kama hana lipya ni kwanini achaguliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…