Team Messi Vs Team Ronaldo: Tujadiliane kwa kuweka stats

Team Messi Vs Team Ronaldo: Tujadiliane kwa kuweka stats

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Team Messi Vs Team Ronaldo tumalize ubishi hapa who's the G.O.A.T lets go by statistics...

Ronaldo timu yake haipo tena UEFA Ila Messi kabakia...

Je Messi ataweza kuikoa Barcelona dhidi ya Bayern kudhihirisha ubora wake ?
 
messi wa zamani ukija na kauli kama hizi ujiandae na adhabu yenye udhalilishaji ndani yake.....napita tu
mambo ya ushindani simo
1597336475112.png
 
messi wa zamani ukija na kauli kama hizi ujiandae na adhabu yenye udhalilishaji ndani yake.....napita tu
mambo ya ushindani simo
View attachment 1536269
Huyo mwenyekiti wa Bayern dharau zake, kitakacho mpata kesho atashindwa hata kusimulia.
Dg mwenyewe anahojiwa na Uefa.com anasema amefurahi na His hero, Akamuulize Boatag
 
Back
Top Bottom