zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Huyo mwenyekiti wa Bayern dharau zake, kitakacho mpata kesho atashindwa hata kusimulia.messi wa zamani ukija na kauli kama hizi ujiandae na adhabu yenye udhalilishaji ndani yake.....napita tu
mambo ya ushindani simo
View attachment 1536269
kumbe golu! nilidhani goal jiandae kufuta kauli yako kesho...Bayern nipigie jamaa hao jamaa golu za kutosha.
Golu ndio nini?Bayern nipigie jamaa hao jamaa golu za kutosha.
Unadhani nimekosea hapo? ha ha....kumbe golu! nilidhani goal jiandae kufuta kauli yako kesho...