Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
kabisa mimi nawapenda sana zarina is super great womanNimewapenda bure zarina na zamaradi
Furaha ndio kila kitu
Ukipewa usinisahauDiamond nipo million kumi nakusaidia kupiga magoti hadi sauzi
Haya usijalUkipewa usinisahau
Picha yake tafadhali huyo Tonto Dikeh nimujue mkuuTumeshamchoka huyo aende zake tu.
Kwa taarifa za kunyapia nyapia Diamond anamuwinda Tonto Dikeh ale kitumbua chake.
mwanaume anaeshabikia mapenzi ya mwanaume mwenzake inatia ukakasiNakumbuka kwenye Interview aliyofanya Diamond Platnumz kupitia Leo tena ya Clouds Fm.. alisema kuwa endapo Zari atagoma kumuelewa na kumsamehe yupo tayr kutembea kwa magoti kutoka Hapa mpka South Africa.
Kwa sasa Hali ya Mapenzi kati ya diamond na aliyekuwa mpenz wake, mzazi mwenzie Zarina Hassan Sio shwari.. Baada ya Zari kuamua kufuta picha zote za diamond katika ukurasa wake wa Instagram na kubadilisha majina katika account za watoto wake aliozaa na Diamond platnumz..View attachment 602257View attachment 602259
Licha ya hivyo, hata siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa mzazi mwenzio Diamond Platnumz Tar 2/10, Hakuweza hata kupost chochote wala kumtakia heri katika siku hiyo..
Pia Diamond anashow Uganda, na Tangazo la awali lilikuwa linaonesha kesho tar 5/10, Diamond pamoja na mpenz wake zari watakuwa pamoja huko nchini uganda na kufanya press conference.. Lakin mapema leo taarifa ya uwepo wa Zari imekanushwa na yeye mwenyewe Zarithebosslady kupitia ukurasa wake wa instagram, baada ya kucomment kwenye page ya waandaji wa show hiyo.View attachment 602243
huu ni muda mzuri wa Diamond Platnumz na Team yake nzima kuanza safari ya kuelekea South Africa kwa mzazi mwenzie Zari kama Alivyoahidi katika Interview ile..

Mkuu hawa saiv hawana soko..ni category ya legends..kna visu vipya naija na ghana had utaogopaDiamond ndo anamnyapia ss hivi.
Ilikuwa bado kidogo tu amle Geneviv Nnaji ila akashindwa.
[emoji3][emoji3][emoji3]msaidie bhana we si no 1 fanDiamond nipo million kumi nakusaidia kupiga magoti hadi sauzi
Hakuna cha funny nipo kazini[emoji3][emoji3][emoji3]msaidie bhana we si no 1 fan
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hakuna cha funny nipo kazini
And I'm 100% sure that you are amongst those bitches, bitch you be like [emoji17] when you end up realizing that you are nothing but a dumb shit [emoji6]Wewe ndo unajifanya mjuaji bitches utakuwa ni wewe maana malaya lazima aliwe na malaya mwenzake
lol tonto naye katoka kwenye sarakasi ya mapenzi n baba mtoto wake diamond atamtuliza na niniTumeshamchoka huyo aende zake tu.
Kwa taarifa za kunyapia nyapia Diamond anamuwinda Tonto Dikeh ale kitumbua chake.
Bora kafanya maamuzi diamond anajikuta dushe yake kama mwenge, haipiti kijijikabisa mimi nawapenda sana zarina is super great woman
kama hadi familia walikuwa wanamshikia mondi mguu amle hamisa ni dharau kubwa sana mimi ningemkeketa bila ganzni huyu mond
ndioFuraha yako kuona watu wakiachana
hahahahaha uwiiBora kafanya maamuzi diamond anajikuta dushe yake kama mwenge, haipiti kijiji
Uswahili ukizaliwa nao huwezi kuuacha hata kama utakuwa RaisMim sio shabiki wa muziki wa bongo na wala simshabikii msanii yeyote hapa bongo labda kidogo Vanessa Mdee. Lakini naona huyu Mr. Diamond tatizo lake bado hajaachana na mambo ya kiswahili, aache kuhangaika na hawa bitches wasiojitambua maana wana njaa kali sana tu ndo zinawasumbua na hawana msaada wowote kwake in the longterm zaidi ya kupanuliwa mapaja na sijui kama ameshafikiri kwamba how can these bitches support to push his music career further. If I'm not mistaken maybe ndo kama wanavyosema mama yake na sister ake ndo wanainfluence mahusiano? If so, basi wamekutana wote with same brain. Mimi labda Nimshauri bwama Diamond Platinum abadilike awe Mwanaume sasa na sio mtoto wa kiume. otherwise, if he persists in his folly there must be a very serious problem somewhere in his family. Anabugi sana kumdistract mtoto mzuri ZariTheBossLady.