Team "nani kama mama", bila pesa anazotafuta baba kwa jasho na maumivu, mambo yangeenda?

Team "nani kama mama", bila pesa anazotafuta baba kwa jasho na maumivu, mambo yangeenda?

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Na hata kama mama alikuwa ana kipato chake, kwa asili kipato kinachotumika kwenye nyumba huwa ni cha baba.

Mama kapika chakula - bila hela ingewezekana?

Mama kanipa hela ya nguo - ni baba kazitafuta, kampa mama awape.

Mama kanitumia pocket money - ni baba kazitafuta, kampa mama awape

Nyumbani kuna umeme na maji - bila hela ingewezekana?

Shule zikifunguliwa uniform mpya - bila hela ingewezekana?

Tuna nyumba - stress alizopitia baba kusimamia mafundi, kununua vifaa mnazijua?
 
Back
Top Bottom