Jaribu kuweka mafuta zaidi ya nusu tank. Weka full tank au angalau 3/4 ya tank. Then jaribu kuwasha tena. Kama ikiwaka vizuri, unaweza kuishi nayo hivyo. Ila hiyo shida mara nyingi itakuwa kwenye fuel injectors. Sijui unaishi mkoa gani kujua hali ya hewa, but nahisi hilo tatizo linatokea mara nyingi muda wa asubuhi gari likiwa limepoa.