Kivipi?Hongera zake kuhama lkn juve na psg vitu viwili tofauti...
Walitaka aende Bayern MunichTeam Ronaldo mlikua mnataka Messi ahame ligi kama Ronaldo leo mmebadilika Tena baada ya Messi kwenda PSG [emoji1787][emoji1787]
Aisee eti mnasema kaenda farmers league Basi sawa ligi ya Ufaransa ni farmers league vipi kuhusu ligi ya Italia? Hiyo kwanini isiwe farmers league Kama Juve anauwezo wa kuchukua ubingwa Mara 8 mfululizo?
Haya Basi mtuambie, ninyi mlitaka Messi ahamie timu gani?
View attachment 1887532