Team Trump wana vijembe hatari

Lakini Hakuna aliyewahi kushika nchi hapo...yamkini angeshika mmoja wapo wasingelalamika
 
Siasa za kuangalia watu badala ya sera ni utapiamlo wa akili.
 
[emoji23] [emoji23] Mkapa kikwete wanamlaumu Jiwe kuhusu umasikini wa watanzania.
... mfano usio na mshiko huo! Has been in the government since 1990's.
 
Lakini Hakuna aliyewahi kushika nchi hapo...yamkini angeshika mmoja wapo wasingelalamika
vuta picha unamkabidhi gari mtu aloeshindwa kupita driving test kwa miaka zaidi ya 30, uraisi sio cheo cha majaribio, hao wanaweza kuwa na uzoefu lakini ni bad experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…