Team Wema Sepetu tukutane hapa

Jamani mimi mimi naomba tutaje List sisemi ni List ya nini ila wenye akili wataelewa na wataendelea kuongezea nilipoishia naanza kama ifuatavyo

Blue, Kanumba, Jumbe, Diamond, Hartman,Munana .......

ongezea na wa kwako unaowajua wanafaa kwenye hii list wengine hawafahamiki na wengine sio maarufu ila ukijisikia tu kumweka kwenye list muweke mpaka hapa wamefika 5 nataka kujua kama wanafika 20 haya twende kazi..

nifah Madame B warumi Evelyn Salt Heaven on Earth mzurimie lara 1
 
Naona umeamua kuufanyia kazi ushauri wangu....
Hahahahaa
Huyo list ni kubwa mkuu,acha tu.
 
Mbunge Msuku....
Idriss
na mimi mwenyewe
 
Nendeni instagram na facebook huku ni kwa wanaojielewa.
kwanza hiyo timu ipo ligi daraja la ngapi
 

Wema anamuingizaga vidole Petitman.
Hapa kwa list Petit anaingia C.T.U
 


Hawa pichani siwajui majina na wa mwaka 2015 pia





 
Mwanaume kuangalia Bongo movie Ni dalili za ushoga. Nasema Mimi.
 
T. I. D., nagarico, mwami mcongo, clement, jumbe, mheshmiwa February marope, kuna yale aliemkwapua kwa linah simjui jina,
Cc C.T.U
 
mnapata faida gani kushabikia hawa wajinga? yaani mtu yuko bize kufatilia maisha ya mtu binafsi tena mtu mwenyew mjinga tu asiejitambua, dah
 
madam anauzoefu wa uwizi hatarii......anakwiba umeme n maji akija jf c atatuibia mb za internet mana uzoefu anao
 
Na hapa pichani akitangazia mumewe usiku wa mwaka mpya na hapo picha ingine na mtumbuizaji wa usiku huo.





Akaandika kusema watu kwa nini wanachukua ma ss huko alikozani anaficha eti picha zake ngoja aje ajione kwenye na hizi afurahie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…