Team Wema wamshika pabaya Ali kiba

Team Wema wamshika pabaya Ali kiba

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Team wema ikiongozwa na wema sepetu safari hii wame mshika pabaya kiba ni baada ya kumuambia kuwa lazima ashiriki kampeni za ccm na kumpost kuwa Ana muunga mkono magufuli la sivyo hawampigi kura ngo na tuzo ata zisikia kwenye bomba km mnavyojua king kiba Ana uhaba wa tuzo kwa kipindi cha miaka 10+ kwenye game Hana tuzo zinanazo zidi 10 uku bwana mdogo Diamond hadi sasa Ana tuzo 25+ Shardcole pwilo source cute b
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naskia ule zile hujuma za kill awards zimewafata hadi huko international,kwi kwi kwi
 
kesha chukua tuzo 3 kati ya 9 alizokuwa anawania 2 zinasubiriwa tarehe ya kukabidhiwa 1 ya uganda keshachukua,na kati ya hizo amealikwa kutumbuiza,kiangalie kijamaa chako kinachofanya pasipo kuingiza hela ila kina fanya kwa amri bila ya hivyo akipewi sapoti ila diamond ameingiza 150m hutaki pita hivi.
mkuu naskia ule zile hujuma za kill awards zimewafata hadi huko international,kwi kwi kwi
 
Team wema ikiongozwa na wema sepetu safari hii wame mshika pabaya kiba ni baada ya kumuambia kuwa lazima ashiriki kampeni za ccm na kumpost kuwa Ana muunga mkono magufuli la sivyo hawampigi kura ngo na tuzo ata zisikia kwenye bomba km mnavyojua king kiba Ana uhaba wa tuzo kwa kipindi cha miaka 10+ kwenye game Hana tuzo zinanazo zidi 10 uku bwana mdogo Diamond hadi sasa Ana tuzo 25+ Shardcole pwilo source cute b

Mambo mengine hayana shida nitoe nikutoe.
Nisuport nikusuport.
Ila nashukuru kwa kutambua kiba sio ccm.
 
Last edited by a moderator:
Kweli umeishiwa.
Siku hizi umeona kuanzisha thread ndio habari ya mjini eee? Kila unachowaza unakifungulia thread umeishiwa
 
Na ole wake aache kufuata anachoambiwa na wema atajuta kumjua kila mara wema anasema bila ya yeye na timu yake kutoa zawadi ya p............... kwa majaji kiba asingepata tuzo hata 1.
 
Back
Top Bottom