mkuu naskia ule zile hujuma za kill awards zimewafata hadi huko international,kwi kwi kwi
Team wema ikiongozwa na wema sepetu safari hii wame mshika pabaya kiba ni baada ya kumuambia kuwa lazima ashiriki kampeni za ccm na kumpost kuwa Ana muunga mkono magufuli la sivyo hawampigi kura ngo na tuzo ata zisikia kwenye bomba km mnavyojua king kiba Ana uhaba wa tuzo kwa kipindi cha miaka 10+ kwenye game Hana tuzo zinanazo zidi 10 uku bwana mdogo Diamond hadi sasa Ana tuzo 25+ Shardcole pwilo source cute b