connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Hilo litasaidia je Tanzania kama nchi yeye akipata na hiyo nafasi?Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Madaktari wengi toka Tanzania watapata kazi WHO. Mkurugenzi ana Nafasi 17 za kuajiri watu toka nchini mwakeHilo litasaidia je Tanzania kama nchi yeye akipata na hiyo nafasi?
Wewe unapiga kijembe wewe. Ngoja Mafwele akusikie.Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Hao madakitari 17 watakua wanatibu watanzania au wanaslipa kodi tanzania?Madaktari wengi toka Tanzania watapata kazi WHO. Mkurugenzi ana Nafasi 17 za kuajiri watu toka nchini mwake
Waulize BAQWATAHao madakitari 17 watakua wanatibu watanzania au wanaslipa kodi tanzania?
Kama taifa tutakuja kupataje izo pesa ??Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Sasa bakwata na masuala ya WHO wapi na wapi acha udini mkuu.Waulize BAQWATA
Kwani umeambiwa Ile NI biashara upate faida ya mtaji?Kama taifa tutakuja kupataje izo pesa ??
Hao madaktari watakaopewa Mchongo wa WHO Afrika baada ya Prof kushinda majina yao lazima yapite BAQWATA (vetting).Sasa bakwata na masuala ya WHO wapi na wapi acha udini mkuu.
Mkuu kwa sheria ipi? Mbona bakwata haina uhusiano na kazi za Who au serikali.Hao madaktari watakaopewa Mchongo wa WHO Afrika baada ya Prof kushinda majina yao lazima yapite BAQWATA (vetting).
Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Marehemu Ndugulile kuchaguliwa kwake nguvu haikutumika kubwa kiasi hiki kwanini Janabi inakuwa hivi?Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Nalo hilo atalibishia kwasababu hajui.Madaktari wengi toka Tanzania watapata kazi WHO. Mkurugenzi ana Nafasi 17 za kuajiri watu toka nchini mwake
Ili iweje, nchi inapata faida gani?Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Alibebwa na cv yake ya utumishi ulotukukaβ
Marehemu Ndugulile kuchaguliwa kwake nguvu haikutumika kubwa kiasi hiki kwanini Janabi inakuwa hivi?
Au ndio β Chema chajiuza kibaya chajitembeza?β!π€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈ
Prof mbona fresh tuAlibebwa na cv yake ya utumishi ulotukuka
Ili hasara izidi kule kwenye hesabu za CAGIli kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.