Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Jovitha Charles Mgambi, FaithIli kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Naunga mkono hojaIli kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Hahaaaa ndio wanatumia ile dreamlike ilikuwa imepaki tu.Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Aende mtaalamu wa ushindi wa chichiemu, baada ya kujitangaza umwomba Mungu amsamehe!Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Hiyo itakuwa ufujaji wa mamilioni ya pesa za walipa kodi wa Tanzania.Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Kama fresh mbona wanahangaika sana? Wakina Kikwete wagonjwa lakini wamo tu🤷🏻♂️🤷🏻♂️Prof mbona fresh tu
Wapewe na chopa mbili wapasue anga Africa nzimaIli kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Safi sanaWapewe na chopa mbili wapasue anga Africa nzima
Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Hahaha baadaye mseme CIG kakosea hesabu. retirement ya trilion 3 ikija? Unafikiri wanapokea rushwa wajumbe kule? Au kuna mapori ya kuundia kura za virobaIli kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
Madaktari wengi toka Tanzania watapata kazi WHO. Mkurugenzi ana Nafasi 17 za kuajiri watu toka nchini mwake