#TeamRonaldo tunakikao hapa kifupi

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
1,458
Reaction score
1,432
Isee huyu Ronaldo huyu mpaka anastaafu goli 100 kwa team ya Taifa lazima isee.....wale team Messi msisahau kupita hapa kuponda maana najua mnaumia sana!!!!

Halafu ile Men FIFA player of the year wasipompa ronaldo basi watakuwa hawajamtendea haki!!!
 
Team Ronaldo mnatabu sana πŸ˜‚πŸ˜‚ timu yenyewe Lithuania...na ukifuatilia vizuri timu alizokutananazo utacheka..while Leo10 amekutana na matim makubwa tena yakiwa katika ubora wao na akawanyanyasa, sasa nyie Lithuania tu mpaka mwanzishe thread πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mmeishiwa kwakweli

Goals by opponent
TeamsGoals
PARAGUAY5
VENEZUELA4
URUGUAY4
ECUADOR4
BRAZIL4
SWITZERLAND3
PANAMA3
NIGERIA3
HAITI3
GUATEMALA3
COLOMBIA3
CHILE3
BOLIVIA3
SPAIN2
NICARAGUA2
MEXICO2
HONG KONG2
CROATIA2
ALGERIA2
UNITED STATES1
SLOVENIA1
SERBIA1
PORTUGAL1
PERU1
MEXICO1
IRAN1
GERMANY1
FRANCE1
BOSNIA1
ALBANIA1

Mbona hatukuanzisha mada πŸ‘†

Nyie viumbe mnateseka sana mpaka nawahurumia, ila mnajuwa kabisa Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea basi mnajitoa ufahamu tu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Yah he is 34 and still doing great things


Striker utaachaje kuwa na magoli mengi kwa mfano? Wakati yeye anasubiri kutengewa mwenzie Messi anakusanya kijiji then anascore...kitu kingine nikukumbushe tu mkuu..Ronaldo amemtangulia Messi game 153 lakini kwenye magoli hawakutofautiana sana πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ je Messi angemtangulia angelikuwa na magoli mangapi mpaka sasa!!! Kuweni wakweli bwana hata kama ni chuki sio hivyo tena.


 
Ronaldo pia kamkuta messi laliga,weka goal ratio za laliga, umekutwa kwenu ulipokulia umechapwa na tumeondoka lia na wanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…