Wengi wao wamesikia sana kuhusu Brazili kama unavyojua mwanamke hushawishika kwa manenoHivi ni kwa nini wanawake wengi ni brazil??
Tatizo watu wamekariri utadhani kachukua kombe mfululizoSio kila siku ni sikukuu aisee..watu wamejipanga wanataka kutengeneza historia!
Kushabikia Germany over my dead body siwezi, siwapendi.TEAMS 5 NITAKAZO SHANGILIA KOMBE LA DUNIA MWAKA HUU
1.Germany
2.Germany
3.Germany
4.Germany
5.Germany
German Machines never die