Naomba kujuzwa kwa mtu aliyejifungua akapata tear 3rd degree baada ya muda mfupi nyuzi zikafumuka akarudishwa hospitali akafanyiwa perineal tear repair baadae kukawa kidonda kwa bibi kikatibiwa kwa muda wa zaidi ya miez 2 kikapona.
Je, mtu huyu anaweza pata mtoto mwingine kwa kujifungua kawaida na asipate madhara?
Je, mtu huyu anaweza pata mtoto mwingine kwa kujifungua kawaida na asipate madhara?