Tear third degree

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
Naomba kujuzwa kwa mtu aliyejifungua akapata tear 3rd degree baada ya muda mfupi nyuzi zikafumuka akarudishwa hospitali akafanyiwa perineal tear repair baadae kukawa kidonda kwa bibi kikatibiwa kwa muda wa zaidi ya miez 2 kikapona.

Je, mtu huyu anaweza pata mtoto mwingine kwa kujifungua kawaida na asipate madhara?
 
Ndio. Inabidi apumzike lakini kama amepona kabisa hakuna madhara ya kujifungua kwa njia ya kawaida.
 
Ili awe vema zaidi Kusiwepo na MKANDAMIZANO angalao kwa kipindi Cha miezi 3 Hadi 4 ili kuruhusu uponaji mzuuri Hadi ndani
 
Ndio anaweza... Saizi mpe tu muda apone vizuri..., kama anapishanisha miaka miwili miwili kupata mtoto mwingine au zaidi itakuwa ni sawa na hakuwa na kovu kabisa.
 
Ndio anaweza... Saizi mpe tu muda apone vizuri..., kama anapishanisha miaka miwili miwili kupata mtoto mwingine au zaidi itakuwa ni sawa na hakuwa na kovu kabisa.
Kovu Lipo kwani alivyorudiwa kushonwa baada ya muda nyuz baadhi ziliachia na. Kuzuka kidonda ambacho kimetcchukua zaid ya miez 2 kupona nje
 
Kovu Lipo kwani alivyorudiwa kushonwa baada ya muda nyuz baadhi ziliachia na. Kuzuka kidonda ambacho kimetcchukua zaid ya miez 2 kupona nje
Ndio hivyo, maelezo ni hayo hayo. Uwezekano wa kujifungua kwa njia ya kawaida bado upo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…