Tech au unesi

Tech au unesi

as long as matokeo yako yanaonesha kuwa uko vizuri in physics na Maths ingekuwa mimi ningeenda civil kwani najiweza.
Kingine ni ukitaka kusoma usifikirie tu ajira angalia pia wewe kuwa mwanzilishi wa hizo ajira ili uondokane na usumbufu wa kuzunguka na vyeti baada ya kutumia miaka mingi kusoma......pia hii utawapa vijana wenzako kazi.
Kuhusu hapo angalia uwezo wako uko wapi kwenye masomo hayo physics,chemistry,biology,mathematics
 
nilikuwa na mpango wa kusoma twisheni ya pure maths ili nikienda tec nisisumbuke sana,je ni good idea?
 
Ni vizuri pia ila kumbuka kwenye diploma ni unaanza mwanzo kabisaaa kama ni trig,calculus hapo mwaanza mwanzo ila hiyo pia ni idea nzuri ili uwe na uelewa fulani.
its good you have an idea of what you wanna do
 
nashukuru sana kwa kunielewesha,nikifanya vizuri katika masomo yangu naweza kupata mkopo nikichukua degree ?
 
ukimaliza diploma yako ukiapply chuo na kupangiwa na ukaomba mkopo hsleb nadhani utapata kwani hata wengine wanapata

So chuo gani unaenda au umeapply kipi?
 
arusha institute of technology na application form za dit zikitoka nita apply
 
tafuta course ya biomedical engeneering ni nzuri sana na ina soko kwa tanzania hata mimi naweza kukuajiri.
 
Mr pesa siwezi enda tena DIT kama full time student ila kuna some professional courses nitazifata pale

Pia domi biomed ni bora kuliko Nursing
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom