Domitina johnson
Member
- Mar 24, 2013
- 17
- 0
Technical
as long as matokeo yako yanaonesha kuwa uko vizuri in physics na Maths ingekuwa mimi ningeenda civil kwani najiweza.
Kingine ni ukitaka kusoma usifikirie tu ajira angalia pia wewe kuwa mwanzilishi wa hizo ajira ili uondokane na usumbufu wa kuzunguka na vyeti baada ya kutumia miaka mingi kusoma......pia hii utawapa vijana wenzako kazi.
Kuhusu hapo angalia uwezo wako uko wapi kwenye masomo hayo physics,chemistry,biology,mathematics
nilikuwa na mpango wa kusoma twisheni ya pure maths ili nikienda tec nisisumbuke sana,je ni good idea?
Ni vizuri pia ila kumbuka kwenye diploma ni unaanza mwanzo kabisaaa kama ni trig,calculus hapo mwaanza mwanzo ila hiyo pia ni idea nzuri ili uwe na uelewa fulani.
its good you have an idea of what you wanna do
nashukuru sana kwa kunielewesha,nikifanya vizuri katika masomo yangu naweza kupata mkopo nikichukua degree ?
ukimaliza diploma yako ukiapply chuo na kupangiwa na ukaomba mkopo hsleb nadhani utapata kwani hata wengine wanapata
So chuo gani unaenda au umeapply kipi?
arusha institute of technology na application form za dit zikitoka nita apply
naona DIT pazuri sana niliapply pale wakanichagua baadae nikasepa
nasikia haina degree,ni kwelitafuta course ya biomedical engeneering ni nzuri sana na ina soko kwa tanzania hata mimi naweza kukuajiri.
Basi turudi hata mie nilikuwepo mwaka jana DITnaona DIT pazuri sana niliapply pale wakanichagua baadae nikasepa
Basi turudi hata mie nilikuwepo mwaka jana DIT
mshahara unabase kwenye sh. Ngap?
ile kiukweli siwezi jua ingawa haifiki 3mil