Technical explanation on Concentrate Ban from ACACIA Chief Operating Officer


Kasome na kuelewa vizuri kuhusu foreign versus local investment hasa hasa kwenye madini, faida na hasara zake. Ndio utajua nini cha kufanya kama nchi.
Sio kila mzungu ni padre!
 
Kasome na kuelewa vizuri kuhusu foreign versus local investment hasa hasa kwenye madini, faida na hasara zake. Ndio utajua nini cha kufanya kama nchi.
Sio kila mzungu ni padre!
Ila JamiiForums huwa mnapenda ubishi wakati mwingine, hata sehemu ambapo siyo lazima. Nikasome wapi, wakati kila kitu kipo kwenye maandishi.

Kila kitu kilishaelezewa humu, bahati mbaya kuna baadhi ya nukuu zilifutwa.

Lakini mapendekezo ya serikali kupitia wizara ya Madini yalishatolewa kuhusu migodi ya dhahabu ya Buzwagi na Bulyanhulu. Serikali ya Tanzania ikapata asilimia 16 na BarrickGold walipata asilimia 84, yaani ubia. Hii ikiwa ni ongezeko kutoka asilimia 4 kwa awamu iliyopita [ yaani 2005 - 2015 ] mpaka asilimia 16 kipindi hiki cha rais Magufuli.

Vile vile inakupasa kufahamu kuwa - makubaliano yaliyohafikiwa kati ya serikali ya Tanzania na BarrickGold yalikuwa ni mapendekezo ya serikali ya Tanzania kuhusu migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu pekee yake, siyo sheria ya madini kama watu wengi wanavyodhani ndio maana haikupitishwa bungeni.

Kwa hiyo, migodi ya dhahabu kama GGM na Shanta Gold haikuathiriwa na haya mapendekezo mapya ya sheria za madini ndio maana serikali ya Tanzania inaendelea kutumia sheria ya Madini ya mwaka 2010 na mapendekezo madogo madogo ya sheria ya mwaka 2012 [ latest Mining Act of 2010 ], siyo haya mapendekezo ya sheria ya Profesa Kabudi.

Na kuhusu "foreign investors" na "local investors" yaani muwekezaji wa nje na muwekezaji wa ndani kila kitu kipo wazi na kimeainishwa kwenye nyaraka za serikali, ukienda wizarani au STAMICO utazikuta.

Aina ya wawekezaji hawa wawili wametofautiana kwenye nguvu ya mtaji yaani [ capital funds ] na aina ya uchimbaji yaani [ mining methods ].

Kwa upande wa wawekezaji wa ndani yaani [ local investors ] unatakiwa uwe na mtaji [ capital funds ] wowote wa kukidhi mahitaji ya shughuli ya uchimbaji yaani [ utafutaji wa madini, uchimbaji wa madini, uchenjuaji wa madini na vifaa vitakavyofanikisha shughuli hizo kama baruti za ulipuaji ]. Lakini kwa upande wa wawekezaji wa nje yaani [ foreign investors ] unatakiwa uwe na mtaji [ capital funds ] ya kuanzia USD 1 million [ hii ilikuwa ni mwaka 2016, sijui kwa sasa ] ili kukidhi mahitaji ya shughuli ya uchimbaji yaani [ utafutaji wa madini, uchimbaji wa madini, uchenjuaji wa madini na vifaa vitakavyofanikisha shughuli hizo kama baruti za ulipuaji ].

Na kwa upande wa aina ya uchimbaji [ mining methods ], muwekezaji wa ndani [ local investors ] anaruhisiwa kufanya aina yoyote ya uchimbaji wa madini yaani uchimbaji mdogo [ small scale ], uchimbaji wa kati [ medium scale ] na uchimbaji mkubwa [ large scale ] lakini kwa muwekezaji wa nje [ foreign investors ] hali ni tofauti kidogo kwani wao wanaruhusiwa uchimbaji mkubwa [ large scale ] tu.

Kama wewe ni mdau wa sekta ya Madini utakumbuka mwaka 2015 - 2016, kampuni ya wawekezaji kutoka nje ya nchi - Sunshine ya Chunya, Mbeya ilifungiwa baada ya kuendesha shughuli za uchimbaji wa kati [ medium scale ] wakati wao ni wawekezaji wa nje yaani [ foreign investors ].

Kwa hiyo faida na hasara kwa upande wa uwekezaji wa ndani [ local investment ] na uwekezaji wa nje [ foreign investment ] unaweza kuona kuwa unafaidisha wawekezaji wa ndani [ local investors ] ikiwa kanuni na taratibu za utunzaji mazingira zimezingatiwa.
 
History has ALWAYS been written for those who worked for it. Eeh! No shortcut.
 
Very informative and timely efficient admistered sanitising Bongo Hip Hop video from Fid Q - "I AM A PROFESSIONAL"
 
Hoja zako zote ni kutetea Ujinga ambao hautakusaidia hata kuteuliwa kuwa DC wewe unatumika tu wala huna uelewa wowote na unatetea usichokijua maana umejifanya Msukule kwa kukataa kuelewa.
Sasa siku nyingine usidharau usiyemjua!
 
Mwanza Precious metels refinery U/C







Gold refinery completion, exports set for September
ippmedia.com/en/news/gold-refinery-completion-exports-set-september


May 14, 2020

14May 2020
By Guardian Reporter
Mwanza
News
The Guardian
Gold refinery completion, exports set for September
TANZANIA will start exporting refined gold within the next four months after the completion of the refinery plant in Mwanza.


Stanslaus Nyongo, the Deputy Minister for Minerals.
Stanslaus Nyongo, the Deputy Minister for Minerals, revealed this yesterday after visiting the refinery project site in Mwanza.

He said that construction of the plant began two months ago and is currently around 40 percent complete. Its completion will settle the long standing legal issue surrounding non-exporting raw minerals, he stated.

Speaking on amendments to the 2017 Mining Act, Nyongo said the completion of the refinery will go in tandem with the rule that requires traders in minerals not to export raw minerals as all minerals will be refined in the country to increase their value. They are expected to fetch good prices in the world market, he said.

Nyongo said he was pleased with supervision by the State Mining Corporation (STAMICO) of work on the refinery project, elaborating that he would be making regular visits at the site to ensure it is inaugurated on time.

STAMICO Managing Director, Dr Venance Mwasse, said completion of the project will go in tandem with enabling small miners in gold refining in their areas.

Assistance to be accorded to small miners will assist the refinery getting enough raw materials as it expects to refine 480 kgs of gold per day that will have a purity of 999.99 which is at par with the highest purity levels worldwide.

Dr Mwasse said he and team feel proud to oversee the government’s aim in attaining industrial economy level and that STAMICO is contributing towards that goal in deeds.

The project contractor, Libaan Yasir of Aqe Associates Ltd, said the project was slated to be completed by December last year but resource mobilization pushes the work to be ready come September this year.

In 2017, President John Magufuli banned export of raw, citing the fact that the government was losing much deserved revenue due to poor follow-up on amounts and value of minerals recovered from the sands.

President Magufuli underscored the need to invest in smelters in Tanzania instead of exporting gold sands to recover minerals. He said among all countries blessed with large amounts of minerals, only Tanzania shipped its valuable sands abroad.

Tanzania is Africa’s fourth-biggest gold producer after South Africa, Ghana and Mali.

The government collected 301bn/- in mining revenue in the 2017/2018 fiscal year, a figure that rose to 310bn/- in 2018/2019. Existing plans projected collecting 470bn/- in the 2019/2020 financial year.





#UkaidiwaWatanzania#

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Are you also part of the TAX EVASION, CORRUPTION, BRIBERY, FRAUD, and we must include MURDER, POISON IN OUR WATER, ENVIRONMENT DISASTERS, DESTROYING PROPERTY. Must we continue?
Yes! he's ! ..so what?

See!!! Highly and well learned figures, en all kind of expert stuffs dwelling in your Land, including you and others, ''for so long you've failed bitterly to uplift something of values from the same source, that gonna impact your Africans' countries life, in a positive way, such an easy going economy out of innovations has rendered you to be where you are today,

As long as you are spited white washed, there's no way that you gonna move out of exploitation's yokes that you've created on your own hands, and too much!! noiseless will never bring something tangible in your dinning table, least you succumb to death on the behest of PTB (power that be).

Above all you gonna end up pointing finger to your innocent fellow brethren,kinfolks etc .. indeed out of knowledge in a buffoon manner. instead all in all take serious initiatives in higher echaron representatives, rather than hiding in unknown key board places.
 
She's not a mining familiar though these pseudo words won't make sense any longer! Just let her know what are the roles and responsibilities of foreign investors to African governments including the Tanzania itself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…