Tomaa Mireni JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 2,395 Reaction score 2,391 Feb 19, 2022 #1 Bei ni 190000 0625547181 haina kasoro
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 19, 2022 #2 Ahsante kwa taarifa...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 19, 2022 #3 Dah! Kitambo sana aisee! Nilikuwa nina redio yangu aina ya Aiwa, inafanana kwa mbali na hiyo! ilikuwa ina mziki mnene hatari!
Dah! Kitambo sana aisee! Nilikuwa nina redio yangu aina ya Aiwa, inafanana kwa mbali na hiyo! ilikuwa ina mziki mnene hatari!
Tomaa Mireni JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 2,395 Reaction score 2,391 Feb 19, 2022 Thread starter #4 Tate Mkuu said: Dah! Kitambo sana aisee! Nilikuwa nina redio yangu aina ya Aiwa, inafanana kwa mbali na hiyo! ilikuwa ina mziki mnene hatari! Click to expand... Mimi nina aiwa mpaka leo, kutokana mziki wake nimeshindwa kuiuza, niamua kununua mp3 nikaunga hapo kwa hiyo inapiga flash bluetooth n.k inagonga balaa
Tate Mkuu said: Dah! Kitambo sana aisee! Nilikuwa nina redio yangu aina ya Aiwa, inafanana kwa mbali na hiyo! ilikuwa ina mziki mnene hatari! Click to expand... Mimi nina aiwa mpaka leo, kutokana mziki wake nimeshindwa kuiuza, niamua kununua mp3 nikaunga hapo kwa hiyo inapiga flash bluetooth n.k inagonga balaa
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Feb 20, 2022 #5 Tomaa Mireni said: Mimi nina aiwa mpaka leo, kutokana mziki wake nimeshindwa kuiuza, niamua kununua mp3 nikaunga hapo kwa hiyo inapiga flash bluetooth n.k inagonga balaa Click to expand... Hiyo ndio miziki original sasa achana hizi takataka za kichina
Tomaa Mireni said: Mimi nina aiwa mpaka leo, kutokana mziki wake nimeshindwa kuiuza, niamua kununua mp3 nikaunga hapo kwa hiyo inapiga flash bluetooth n.k inagonga balaa Click to expand... Hiyo ndio miziki original sasa achana hizi takataka za kichina
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Feb 20, 2022 #7 Weka picha.. [emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 Feb 23, 2022 #8 Tate Mkuu said: Dah! Kitambo sana aisee! Nilikuwa nina redio yangu aina ya Aiwa, inafanana kwa mbali na hiyo! ilikuwa ina mziki mnene hatari! Click to expand... Aiwa zilikuwa ni balaaa,spika ndogo tu lakini hiyo sound unaweza jua imefungwa subwoofer
Tate Mkuu said: Dah! Kitambo sana aisee! Nilikuwa nina redio yangu aina ya Aiwa, inafanana kwa mbali na hiyo! ilikuwa ina mziki mnene hatari! Click to expand... Aiwa zilikuwa ni balaaa,spika ndogo tu lakini hiyo sound unaweza jua imefungwa subwoofer