T The Great Architec Member Joined Aug 19, 2012 Posts 86 Reaction score 17 Oct 5, 2012 #1 Tukiachana na suala la kuweka miguu ndani ya maji,nadhani kuna njia nyingine nyingi ambazo watu hutumia. Huwa kwa kawaida kuna uvivu huwa unatokea kabla ya kushika daftari. Tusaidianeni jamani
Tukiachana na suala la kuweka miguu ndani ya maji,nadhani kuna njia nyingine nyingi ambazo watu hutumia. Huwa kwa kawaida kuna uvivu huwa unatokea kabla ya kushika daftari. Tusaidianeni jamani