Technique ya kwenda USA kusoma?

Nataka kujua ile technique ya kujiunga na chuo cha bei rahisi then unalipia semister moja,wanakutumia admission na I-20+letter then unaitumia ile kwenda ubalozini kwa F1-Visa,ebu nijuzeni hapa na chuo gani ni bei rahisi kulipa semister moja? Thanks
 
Kuhusu Canada hakuna Test kwa watu wenye elimu ya juu degree, advance diplomas, masters na PHD. Usikimbilia ma Agent kwanza maana unaweza kukutana na watu ambao hawaelewi mimi nashauri ufanye research mwenyewe nikirudi nitatoa more detail kwa rafiki yangu ambaye amepata hivi karibuni na nitawapa step by step process. Canada inakuja juu sana na kama umesoma ni sehemu nzuri sana maana uchumi wao unaenda juu na hawana wasomi wa kutosha.
 
Sasa ikiwa Bongo umeweza kupata kazi yenye kipato kama hicho cha hapo red, unataka kwenda USA kufanya nini.
By the way, ikiwa hizo usd 13,000 ni kwa mwezi, kwa mwaka mmoja ni usd 156,000, bado huwezi kuishi bongo mpaka uende USA kubeba maboksi saa 20 kwa siku?
 
Oh! yes, huyo Ernest anaishi wapi na pengine tupate hata email yake.
 

Hivi wewe ni mganga wa kienyeji au vp! maana ushauri wako ni kama nguvu za giza! pole sana unaonekana hujui lolote.
 
Kama unatengeneza 3,000$ bongo usije States.
Ila kama unataka kupata ka-MBA chako, States is the place!, asikudanganye mtu. Nimewashuhudia form four leavers wengi tu wakichukua MBA within 6 years. Pia tupo wengi ambao tumekuja na vidigrii na vidiploma na tukalosti kwa kuendekeza starehe.
Ila shule marekani inawezekana sana! na ukimaliza hutakuwa na wasiwasi wa kuilipa GOT fedha zao.
 

wengine wanajitangazia unabii na kuwa watabiri wakubwa wa vifo

wengine ni watoaji mapepo na wagangaji vilema kwa hivyo usishangae kupata mshahara huo kwa mwezi
 
Hii Bado ni njia bora kwa wasomi hasa Engineers.Tatizo la Watanzania hatusaidiani kwenye maendeleo !!
 

sasa wewe kwa hali yako unaona hizo ni pesa nyiiingi saaana...????!!!
 
Mamamamaee walai! Unataka kutupoteze Kinkong we2 wa III
 
Kama ni Usa ya Arumeru wee jitome tu. On a serious note, kama shida yako ni kusoma tu ni lazima uende huko? Na kama una malengo ya kazi muda huu haukufai maana tangu 2008 Europe na USA hakufai kabisa kwetu wamatumbi.
Naomba, ufafanuzi wako,wa kina kwenye hicho usemacho

Kwa mtu anae enda kikazi
 
Nitakaza moyo ,niyashindee ,Tangaaaaa!! Binadamu hawapendi kuwaona wenzao ,wakipata maendeleo ya kimaishaa mara watasema Intelligent alifanya vile.
Wengine wata dai kuwa King Kong III Ali fanya hivi, ili mradi waharibu heshima yake na jina lake.

Binadamu tupendane, Nita kaza moyo hapa duniani, niwa shinde wafitini.

Ooh mola nilinde, ohh nisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…