Nimeshuhudia vitabu vya shule za msingi za somo la Tehama, hivi waalimu wanafundishaje? maana vina mambo ya computer parts na kazi zake, computer peripherals na kazi zake, Internet/mtandao wa simu na computer, technologia ya habari.
Nawahurumia sana waalimu kwani ni kazi ngumu mno kufundisha usichokielewa. Great thinkers please advise.
Najitambulisha kwa hii thread.