Gideon P. Mazara
Member
- Jun 9, 2012
- 8
- 0
kila la kheri mkuu hop tutapeana kazi pale itakapobidi, naamini nitakusukumia kazi za kutosha maana most sometym kazi zinatupita kutokana na kutingwa, i hav copied your number for further info. nitakusuprise kwa kazi. poathanx kaka...karibu sana ,,,,,,,i hope siku moja tutaonana mkuu, production ya maziwa ilisimama kwa mda ila soon itaendelea kama kawaida mkuu.
poa kaka hapo nitarudi lakini kwa stori tu za hapa naondokawebsite itakuwa online as soon as possible kwani ipo under construction hivyo once nikishaihost nitaiweka humu ili wadau muweze kuitembelea na kusoma services zetu in details.
Technology 4 Africa Co. Ltd ni kampuni inayotoa huduma zote za IT ikiwa ni pamoja na Computer maintenance and troubleshooting, Networking and technical support, website/graphics designing, hardware & software sales, distribution and services, Consultancy and Training e.t.c
Kwa maelezezo zaidi ya huduma zetu wasiliana na;
Mr. Gideon P. Mazara/ MSC Engineer
Ubungo Bus Terminal,
Utawala Building 1st Floor,
P.O Box 22700,
Dar es salaam, Tanzania.
Phone; +255 714 03 03 07.