Technology 4 Africa Co. Ltd

Technology 4 Africa Co. Ltd

Joined
Jun 9, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Technology 4 Africa Co. Ltd ni kampuni inayotoa huduma zote za IT ikiwa ni pamoja na Computer maintenance and troubleshooting, Networking and technical support, website/graphics designing, hardware & software sales, distribution and services, Consultancy and Training e.t.c

Kwa maelezezo zaidi ya huduma zetu wasiliana na;

Mr. Gideon P. Mazara/ MSC Engineer
Ubungo Bus Terminal,
Utawala Building 1st Floor,
P.O Box 22700,
Dar es salaam, Tanzania.

Phone; +255 714 03 03 07.
 
Asante kwa taarifa ila nafikiri ni vema uweke website yenu tuitembelee
Thanks
 
nashukuru kwa ujumbe na pia suala la website tunalifanyia kazi kwani website ipo under construction hivyo as soon as itakapokamilika nitaweza kutoa link mkuu.
 
Back
Top Bottom