Mkuu naomba kujua jambo hili
'kuna bwana mmoja aliwahi kueleza kuhusu localbitcoin na ktk maelezo yake alisema kwamba
WAWEZA WEKEZA 327 ELFU THEN UKAWA UNAVUNA KAMA 5 ELFU KW CKU je hii ni kweri? na kama ni kweri nianzie wapi mchakato huu?
Chukua Shiba Inu mkuu. Bei iko chini zaidi kwa sasa na iko na bright future. Coin $100 unapata za milioni kadhaa.Sikukuu zimeisha… coins gani zinaenda kugain momentum tuanze ku hold??
Soko la cryptocurrency linapanda na kushuka. Ukiona mahali unahakikishiwa kiasi fulani kila baada ya muda fulani ujue ni utapeli.Mkuu naomba kujua jambo hili
'kuna bwana mmoja aliwahi kueleza kuhusu localbitcoin na ktk maelezo yake alisema kwamba
WAWEZA WEKEZA 327 ELFU THEN UKAWA UNAVUNA KAMA 5 ELFU KW CKU je hii ni kweri? na kama ni kweri nianzie wapi mchakato huu?
Asante kwa taarifa[emoji2]Acha utoto Basi pita kimya ,maana nakuona kwenye thread nyingi unaandika hivi huu ni ujinga ,sio lazima ucomment ,tumia akili sio ilimradi wakuone
Hii shiba naona inapigiwa chapuo kwamba inaweza kutengeneza mamilionea.Chukua Shiba Inu mkuu. Bei iko chini zaidi kwa sasa na iko na bright future. Coin $100 unapata za milioni kadhaa.