Ni local, matumizi ya kawaida sana yaani narudia yale ya kawaida itawezana nayo... Kama ni matumizi ya kurun projects kubwa kubwa tafuta mashine nyingine... Unless hatujajua unataka kununua PC hiyo kwa matumizi gani, uko too general hujawa specific..