Tecno bhana!

Tecno bhana!

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Hii picha itakuwa imepigwa kwa simu aina ya Tecno. Nyingi ukipiga selfie picha inatoka kiarabu. Au utafikiri kioo.

TeamTecno povu ruksa.
Screenshot_20180519-164127.jpeg
 
nilijaribu kutumia tecno,baada ya masaa tu nikaona bora kitochi changu cha NOKIA
 
nilijaribu kutumia tecno,baada ya masaa tu nikaona bora kitochi changu cha NOKIA
Hiyo ni tecno. Kama una tecno we piga tu selfie kwenye maandishi ndio utaona kiarabu. Usione aibu.
 
Ndio tecno soko lake lipo africa tu
 
wabongo kwa mapenzi siwawezi yaani mnavyowapenda sumsang ,htc, nokia, sijui na kina nani basi mnataka na ss tuwapende hao hao kila mtu ana mapenzi yake bana
 
Back
Top Bottom