Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hiyo ni tecno. Kama una tecno we piga tu selfie kwenye maandishi ndio utaona kiarabu. Usione aibu.nilijaribu kutumia tecno,baada ya masaa tu nikaona bora kitochi changu cha NOKIA
Hii ni samsungebu tuwekee ya simu nyingine
Hii ni samsung. Nimeipiga kama selfieebu tuwekee ya simu nyingine
hahahahahahah