Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Hapana mzee simu haina kasoro130,000 nataka niweke line zangu za ziada. RAM 2GB Kwa simu za sasa ni ndogo mkuu
Kiroho safi toa 170k haina kasoro,unakuja kukagua kama ina kasoro nakupa nauli yako ya usumbufu
Ukifika 145k tuwasiliane.Kiroho safi toa 170k haina kasoro,unakuja kukagua kama ina kasoro nakupa nauli yako ya usumbufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anglia sifa zake
Tecno C9
Android 6.0
Ram 2 GB
Storage 16GB
Network 4G LTE (dual)
Camera 13 MP(dual)
Betri 3000mAh
Free auto focus cover
Free internet 1 month
Unataka nini tena hapo?
Haina kasoro hata 1
Bei ni 190k tuwasiliane
0625547181 kama unahitaji nipo Mbagala saba saba kwa MpiliView attachment 996895View attachment 996896
Sent using Jamii Forums mobile app