Sawa mkuu ila uzuri wa picha si mg nyingi ila ni sensor,aperture,na Inaendana Chipset husika Ila megapixel hufanya tu picha kuwa kubwa pekee basi maana hata ukiangalia simu za kisasa au iphone nyingi zina mg 12 au hata proffessional camera nyingi haziwi na megapixels kubwa kwa kigezo cha kufanya picha iwe nzuri.Hapo ulikuwa hauko sahihi so far biashara njema boss wangu.Mtu atakayetumia CX Air basically ni sawa sawa na mtumia CX tofauti ipo kwenye ukubwa wa Megapixels za Kamera na resolution ya kioo.
CX ina 16 MP mbele na nyuma na resolution ya 1080x1920. If anything hii inaipa advantage CX Air ya kua na picha nzuri kutazamika kuliko CX. Ila CX itakua na advantage ya kua na uwezo wa fast autofocus na kwenye mazingira yenye mwanga mdogo.
Tofauti yao ipo ndani sana ila kila kitu kingine vipo sawa
Kiukweli uko sahihi.Sawa mkuu ila uzuri wa picha si mg nyingi ila ni sensor,aperture,na Inaendana Chipset husika Ila megapixel hufanya tu picha kuwa kubwa pekee basi maana hata ukiangalia simu za kisasa au iphone nyingi zina mg 12 au hata proffessional camera nyingi haziwi na megapixels kubwa kwa kigezo cha kufanya picha iwe nzuri.Hapo ulikuwa hauko sahihi so far biashara njema boss wangu.
Yeah boss wangu uko sawa Mkuu.Kiukweli uko sahihi.
Lakini ulitakiwa kugundua kua nimezifananisha hizo simu mbili tu, sijatoka nje ya hapo.
Kwa professional camera kinachomatter ni lenzi na siyo MP.
Siku njema.