hapana nmeamua tu Kuna infinix nmeipenda nmeona nkachukue lakini ngoja niuze hii kwanza maana itakuwa uchafuzi wapesaKwa wenye uchumi mdogo ukiona unatabia ya kushindana na viwanda vya simu andika umeumia,mara iPhone x,mara xiomi mara....oohoo.Mwisho umaskini huu hapa ...lakini ngoja waje maana ni bei nzuri.Lakini kwanini huitaki? Inashida gani?.