Phone4Sale Tecno Spark 7 inauzwa Mtwara

Phone4Sale Tecno Spark 7 inauzwa Mtwara

Kaiche

Senior Member
Joined
Jan 23, 2017
Posts
147
Reaction score
297
Habar Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema Tecno spack 7 inauzwa
Ina mwezi mmoja
Haina tatizo lolote
RAM 64 GB
ROM 4 GB
BEI 250000


LOCATION MTWARA


tecno-spark-7.jpg
 
Kariakoo unapata kwa bei ya chini zaidi ya uliyoweka hapa.

Ila kwakuwa uko mkoani Mtwara sawa
 
Kariakoo unapata kwa bei ya chini zaidi ya uliyoweka hapa.
Ila kwakuwa uko mkoani Mtwara sawa
Acha kudanganya umma,,,,Kariakoo spack 7 upate chini ya 250000,,,,,kuwa mkoani si kwamba kila kitu tunanunua huku,,,,Weka bei ya kariakoo hapa hyo brand new
 
Back
Top Bottom