Kaiche Senior Member Joined Jan 23, 2017 Posts 147 Reaction score 297 Dec 12, 2021 #1 Habar Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema Tecno spack 7 inauzwa Ina mwezi mmoja Haina tatizo lolote RAM 64 GB ROM 4 GB BEI 250000 LOCATION MTWARA
Habar Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema Tecno spack 7 inauzwa Ina mwezi mmoja Haina tatizo lolote RAM 64 GB ROM 4 GB BEI 250000 LOCATION MTWARA
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 12, 2021 #2 Mikoani unatuma?
Kaiche Senior Member Joined Jan 23, 2017 Posts 147 Reaction score 297 Dec 12, 2021 Thread starter #3 Bujibuji Simba Nyanaume said: Mikoani unatuma? Click to expand... Itakuwa nyangamoto kwangu
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Dec 12, 2021 #4 Kariakoo unapata kwa bei ya chini zaidi ya uliyoweka hapa. Ila kwakuwa uko mkoani Mtwara sawa
Kaiche Senior Member Joined Jan 23, 2017 Posts 147 Reaction score 297 Dec 12, 2021 Thread starter #5 Sandali Ali said: Kariakoo unapata kwa bei ya chini zaidi ya uliyoweka hapa. Ila kwakuwa uko mkoani Mtwara sawa Click to expand... Acha kudanganya umma,,,,Kariakoo spack 7 upate chini ya 250000,,,,,kuwa mkoani si kwamba kila kitu tunanunua huku,,,,Weka bei ya kariakoo hapa hyo brand new
Sandali Ali said: Kariakoo unapata kwa bei ya chini zaidi ya uliyoweka hapa. Ila kwakuwa uko mkoani Mtwara sawa Click to expand... Acha kudanganya umma,,,,Kariakoo spack 7 upate chini ya 250000,,,,,kuwa mkoani si kwamba kila kitu tunanunua huku,,,,Weka bei ya kariakoo hapa hyo brand new
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 12, 2021 #6 Ahsante Kwa taarifa...