loykeys JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 1,175 Reaction score 910 Feb 14, 2018 #1 Amani kwenu wadau, Nauza tecno spark k7 gold cover ipo kwenye hali nzuri imetumika wiki 3 sababu ya kuuza nataka nichukue simu kubwa zaidi ya hii. Specification zake: DUAL SIM 16GB ROM + 2GB RAM 13MP + 5MP CAMERA FINGERPRINT + CASE 5.5" HD IPS 3000MAH BATTERY ANDROID 7.0 NOUGAT QUAD-CORE 1.3GHZ PROCESSOR Note: ram yake ni 2GB ni toleo jipya baada ya ile ya kwanza yenye 1GB ram. Bei 210k maongezi yapo. Napatikana tabata Dsm Any serious buyer call/txt 0754669580
Amani kwenu wadau, Nauza tecno spark k7 gold cover ipo kwenye hali nzuri imetumika wiki 3 sababu ya kuuza nataka nichukue simu kubwa zaidi ya hii. Specification zake: DUAL SIM 16GB ROM + 2GB RAM 13MP + 5MP CAMERA FINGERPRINT + CASE 5.5" HD IPS 3000MAH BATTERY ANDROID 7.0 NOUGAT QUAD-CORE 1.3GHZ PROCESSOR Note: ram yake ni 2GB ni toleo jipya baada ya ile ya kwanza yenye 1GB ram. Bei 210k maongezi yapo. Napatikana tabata Dsm Any serious buyer call/txt 0754669580
Erick Kalemela R I P Joined Nov 19, 2017 Posts 815 Reaction score 1,023 Feb 14, 2018 #2 Naitaka sema nitakua vizuri mfukoni kuanzia Jumatatu
loykeys JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 1,175 Reaction score 910 Feb 14, 2018 Thread starter #3 Erick Kalemela said: Naitaka sema nitakua vizuri mfukoni kuanzia Jumatatu Click to expand... Poa karibu
Erick Kalemela said: Naitaka sema nitakua vizuri mfukoni kuanzia Jumatatu Click to expand... Poa karibu
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 880 Feb 14, 2018 #4 Me Nina 150k
loykeys JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 1,175 Reaction score 910 Feb 14, 2018 Thread starter #5 pettymarcel said: Me Nina 150k Click to expand... 150k hailipi ongeza 50k nitakuuzia kwa 200k, karibu
pettymarcel said: Me Nina 150k Click to expand... 150k hailipi ongeza 50k nitakuuzia kwa 200k, karibu
loykeys JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 1,175 Reaction score 910 Feb 14, 2018 Thread starter #6 post closed
loykeys JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 1,175 Reaction score 910 Feb 14, 2018 Thread starter #8 bnhai said: 150k Click to expand... Nashukuru kwa offer yako mkuu, bei ya mwisho 200k Karibu