Tecno Wereva user Only

Tecno Wereva user Only

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Uzi wetu huu wale tunaotumia tecno wereva ni wa kuelezea ni aina gani ya toleo la simu unalotumia ,vipuli vya tecno,matengenezo yake,matatizo na jinsi ya kuovercome,

Bila kusahau brand mbali mbali za simu za tecno na kama unauza Tecno karibu sana hapa jukwaani,

Nb:
Tafadhari wale wa i phone na brand zingine za simu msiweke Coment zenu hapa.
 
Kama unatumia tecno jua akili yako ni kama ya wafuasi wa ccm, sasa pima mwenyewe kama akili zao huwa ni nzuri au mbaya lakini jua mna akili sawa
 
Tecno si simu nzuri utazipenda camera tu yaani kupoteza namba kustack ndo kawaida yake. Nimehamia Samsung sijuti japo gharama ya simu zao ghali.
 
uzi mumeuelewa lakini,au munaubaka tu.hapa ni tecno tu,kama ulitumia tecno ikakuzingua ukaihama pita kushoto,kama una iphone,samsung ,na brand zingine usiguse humu utalogwa bure,hapa wanahitajika wale ambao sasa ivi wanaongea na simu ila torch inawaka na hauna taarifa nayo hadi ushituliwe na unakuta imechemka balaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Aah mkuuu
 
Back
Top Bottom