Bangi za chooni hiziKama unatumia tecno jua akili yako ni kama ya wafuasi wa ccm, sasa pima mwenyewe kama akili zao huwa ni nzuri au mbaya lakini jua mna akili sawa
HahahaTecno sirudi tena huko, Ile sio simu. Kuna siku imenikosesha namba ya mtoto mkare kisa kioo kustack, mdada kanipa namba, kuandika ikagoma kwenye 071, fuckin kweli Tecno.
Aah mkuuuuzi mumeuelewa lakini,au munaubaka tu.hapa ni tecno tu,kama ulitumia tecno ikakuzingua ukaihama pita kushoto,kama una iphone,samsung ,na brand zingine usiguse humu utalogwa bure,hapa wanahitajika wale ambao sasa ivi wanaongea na simu ila torch inawaka na hauna taarifa nayo hadi ushituliwe na unakuta imechemka balaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]