Tega sikio Chindo man,Nikki wa pili & dully sykes

Rubajirwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
472
Reaction score
228
Wadau wafawatiliaji wa nyimbo za hip hop mmeisikia ngoma ya chindo??? Toeni mawazo yenu kwa mliyoisikia
 
Weka hapa wengine hatujaipata
 
Wadau wafawatiliaji wa nyimbo za hip hop mmeisikia ngoma ya chindo??? Toeni mawazo yenu kwa mliyoisikia

Kwani we umeisikia wapi na mawazo yako ni yapi?.. tuanzie hapo kwanza kabla hujatuchosha akili zetu
 
Nimependa verse ya Nikki wa Pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…