Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 515
- 476
Nawasilisha,
Wazoefu wa hizi gari aina ya toyota Rav4 watujuze kwa faida ya wengi humu ndani...
Rav4 nyingi zinanikera sana kwa namna ya tairi zake za nyuma kukaa parale/mshazali/kutaga. Je ni tatizo ama ndiyo namna yake.
Huko kutaga kunadhibitiwa vipi? Mana kwa matege hayo kunaharibu ladha nzima ya hizi gari..
Na nimegundua tatizo hili lipo hata kwa hizi new model 2008 ya cylinder 4, engine vvti, 2360cc, Mpg 21 in city, Mpg 27 in highway yenye nguvu ya farasi wapatao 166...
Lile tege ndiyo tatizo kwa hizi gari... Fungukeni.