Tegemeeni taarifa ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kufungiwa kuanzia kesho

Tegemeeni taarifa ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kufungiwa kuanzia kesho

Hivi Simba na JKT walicheza pale!
Walicheza ila ndiyo uwanja ulikuwa unaanza kutumika haukuwa na hali mbaya. Huu uwanja pamoja na mvua ila inaonesha, kwanza haukutengenezwa vizuri na pia hauna matunzo.
 
Hata wao JKT uwanja umewagharimu pakubwa mno, walikua wanategemea cointer attacks ila ndo ivo chuma haisogei kabisa.

Kina moja forward kasogezewa kabaki yeye na beki mmoja tu ila ndo ivo pira halisogei hadi mabeki wa Yanga wakajaa, akashindwa fanya chochote.
 
Back
Top Bottom