babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Uwanja kama majaruba ya mpunga.. Ukifungiwa wanalalamikaBaada ya TFF na bodi ya ligi kuhakikisha timu ya Yanga inadondosha point, tegemeeni taarifa ya kuufungia uwanja huu kuanzia kesho.
PIA SOMA:
- FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024
Hivi Simba na JKT walicheza pale!Tff na Simba wamefanikisha lengo lao
Walicheza ila ndiyo uwanja ulikuwa unaanza kutumika haukuwa na hali mbaya. Huu uwanja pamoja na mvua ila inaonesha, kwanza haukutengenezwa vizuri na pia hauna matunzo.Hivi Simba na JKT walicheza pale!
Kwani JKT walichezea uwanja mwingine huku walitumia tv kucheza na Yanga??TFF wanatuhujumu sana Yanga
Uwanja uko vizuri kulinganisha na jana
Halafu hawa wana kiporo na makolo cha mzunguko wa Kwanza. Nadhani hii ni aibu kwa Bodi yq ligiBaada ya TFF na bodi ya ligi kuhakikisha timu ya Yanga inadondosha point, tegemeeni taarifa ya kuufungia uwanja huu kuanzia kesho.
PIA SOMA:
- FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024
Kwani JKT walichezea uwanja mwingine huku walitumia tv kucheza na Yanga??
[/QUOTE Wao wameuzoea uwanja wao wa mazoezi ya kwata na mafunzo ya kijeshi
Hivi Simba na JKT walicheza pale!