Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Msiumize vichwa maana naamini kabisa lie mahakama fulani ilianzishwa kwa issue Kama hizo Ngoja wajinoe kwanza
 
Wandugu mbona mimi sielewi, wakuu walisema ile sio hela ya UMMA ni hela ya watu binafsi na wenyewe wamelipwa (Singh and Company). Sasa mbona hapa inaonekana waliolipwa sio na hawakustahili. Sasa ikidaiwa Tanesco ni wazi ile hela ilikuwa ya UMMA au mimi sijui?????? Hebu tukumbushane walio ridhia jamaa walipwe ni wakina nani na je hawa si ndio wamezidi kutuingiza mkenge? Wamelipa hela ya Escrow na sasa Tanesco lazima walipe deni la SCB-HK. Je jamaa watarudisha change yetu? Je walio-ridhia malipo watawajibishwa? Inaelekea ile hela haikuwa yao ndio maaana watu wamegawana bila uchungu? Na uliza tu sio nia yangu kuleta uchochezi. Ngoja ninyamaze hapa.
 
Mkuu haya mambo ni magumu sana !!
 
Aiseeeeeeeeee madeni mpaka tutaachiwa vilembwe na vilembwekeze!!! Hivi huwa ninajiuliza Tanzania ina kitengo cha sheria au ofisi ya Mwanasheria yenye wataalam wabobevu wa mikataba ya kimataifa? Hivi wanasoma wafanya biashara wale ambao ni wezi wa kimataifa na kuwajua kwa undani na mikataba yao?
 
Mnatamani sana Serikali ipandishe bei ya umeme ili muwe na ajenda majukwaani. Mmeula wa chuya. Hilo halitarokea kwa utawala wa Rais Magufuli
Wapandishe au wasipandishe bei ya umeme bado Tanesco-shirika la umma linatakiwa kulipa hiyo fweza na juu ya hapo ile ya escrow ambayo ingeenda kulipia deni hili (correct me if I am wrong) ndio wajanja wameshalipwa ("The funds held in the escrow account that should have been available to satisfy TANESCO's payment obligations to IPTL under the PPA (power purchase agreement) have therefore been paid to two Tanzanian parties - VIP and PAP - neither of whom made any financial contribution to the construction of the facility," it adds).
 
Na bado walijifany hawaelewi kale kamstar ka ccm ni ileile
Mm nabaki naaangalia zile push ups katka level za MTU kama yeye zilikuwa zinamaaana gani paka sasa? Na ndyo maaaana sishangai haya yanayotokea sasa kwan push up anyone can do then because if that he was selected..... Push up why was push up
 
Mnatamani sana Serikali ipandishe bei ya umeme ili muwe na ajenda majukwaani. Mmeula wa chuya. Hilo halitarokea kwa utawala wa Rais Magufuli
Jiandae kulipa hizo 300 plus billions kwanza acha hadithi...
Mkuu sijui atakuja na lipi maana kesha sema hajaribiwi na watu wanaendelea kumjaribu, kuna mwingine alisema anadai akaambiwa halipwi ng'oo, waache kumsumbua "hapa kazi tu" sio madai tu.
 
Sio waliobebeshwa tu, na walio-idhinisha malipo na waliodanganya kuwa ile hela ni hela binafsi haituhusu wawajibishwe unless kama hao arbitrators wamekosea ingawa sidhani hivyo.
 
LABDA NISAIDIE MAELEZO HAYA CHINI
ESCROW account ni akaunt ambayo hufunguliwa ili kuweka pesa za mdaiwa wakati kuna mgogoro na mwenake katika biashara juu ya kiasi gani anatakiwa alipe, ili mdai asiondoe huduma yake!. TANESCO na IPTL walikuwa na mgogoro wa capacity charge. Tegeta Escrow ACCOUNT ILIFUNGULIWA ILI CHARGES ZA TANESCO kwa kupewa umeme na IPTL ziwekwe kwenye account hiyo hadi hapo mgogoro wao utakapomalizika mahakamani. Kama mahakama itashusha capacity charge basi IPTL ichukue chake na TANESCO wabaki na kile cha juu! hili lilitegemea maamuzi ya MAHAKAMA ISCID. So ni hadi hapo mahakama ikisema correct charge ni sio shs 10 bali ni shs 8 basi hizo shs 2 ndo zitakuwa za umma na shs 8 za mdai!

Come to the real issue now, tatizo ni pia Mahakama zinaichanganya TANESCO- Mahakama yetu iliipa PAP UMILIKI baada ya kuwa imemalizazana na Rugemarila kuwa ndo mmiliki halali wa IPTL, Bahati mbaya TANESCO wakawa washailipa PAP pesa yote bila hata kusubiri kesi yao walioshinda kwenye capacity charge.
Leo hii ICSID ime rule out kuwa mmilikiwa IPTL ni standard SBC-HK. Mambo ya nani mmiliki wa IPTL hayaihusu TANESCO.Hata TANESCO ilipoilipa PAP ilitaka assuarance kuwa PAP italipa kwakuwa mgogoro wa umiliki hauwahusu wao,
"Gavana, akaenda mbali zaidi ili fedha zisije daiwa au potea tu..kuona hizi fedha zisije potea bure, aliomba uhakikisho na assurance ya mwisho, kuwa je IKITOKEA MTU KAJA KUDAI HIZO FEDHA itakuwaje..!? Ndio PAP akatoa guarantee, kuwa yeye ndio yuko responsible na atalipa...!! JK
Naona Makosa makubwa ya TANESCO ni mawili. i kuwahi kulipipa PAP kabla hata ya kusubiri hukumu juu ya capacity charge na la pili ii. Kutosubiria mgogoro wa umiliki wa IPTL iliijue exactly inamlipa mmiliki halali
Haya mambo mengine ni siasa tu! JK angekuwa ana interest humo kwanini amtake gavana kuhakikisha TANESCO hailipi mara mbili?
 
Kwa nn watu hatuna uzalendo kazi kuombea mabaya tu serikali why,inawezekana kabisa nyie mnaoombea mabaya hata familia zenu huwa mwaziombea mabaya iweni na uzalendo
.. Hivi uko safarini njiani unamkuta mtu anakuambia njia hiyo usipite kuna simba, wewe kwa ukichwa ngumu wako na pia kujali tumbo lako (mana njia unalazimisha ina chakula) ukapita na Hamadi Simba akafanya yake utaanza kumlaumu tena aliyekuasa kweli? Mtamkumbuka sana yule kijana Kafulila...
 
ESCROW account ni akaunt ambayo hufunguliwa ili kuweka pesa za mdaiwa wakati kuna mgogoro na mwenake katika biashara juu ya kiasi gani anatakiwa alipe, ili mdai asiondoe huduma yake!. TANESCO na IPTL walikuwa na mgogoro wa capacity charge. Tegeta Escrow ACCOUNT ILIFUNGULIWA ILI CHARGES ZA TANESCO kwa kupewa umeme na IPTL ziwekwe kwenye account hiyo hadi hapo mgogoro wao utakapomalizika mahakamani. Kama mahakama itashusha capacity charge basi IPTL ichukue chake na TANESCO wabaki na kile cha juu! hili lilitegemea maamuzi ya MAHAKAMA ISCID. So ni hadi hapo mahakama ikisema correct charge ni sio shs 10 bali ni shs 8 basi hizo shs 2 ndo zitakuwa za umma na shs 8 za mdai!

Come to the real issue now, tatizo ni pia Mahakama zinaichanganya TANESCO- Mahakama yetu iliipa PAP UMILIKI baada ya kuwa imemalizazana na Rugemarila kuwa ndo mmiliki halali wa IPTL, Bahati mbaya TANESCO wakawa washailipa PAP pesa yote bila hata kusubiri kesi yao walioshinda kwenye capacity charge.
Leo hii ICSID ime rule out kuwa mmilikiwa IPTL ni standard SBC-HK. Mambo ya nani mmiliki wa IPTL hayaihusu TANESCO.Hata TANESCO ilipoilipa PAP ilitaka assuarance kuwa PAP italipa kwakuwa mgogoro wa umiliki hauwahusu wao,
"Gavana, akaenda mbali zaidi ili fedha zisije daiwa au potea tu..kuona hizi fedha zisije potea bure, aliomba uhakikisho na assurance ya mwisho, kuwa je IKITOKEA MTU KAJA KUDAI HIZO FEDHA itakuwaje..!? Ndio PAP akatoa guarantee, kuwa yeye ndio yuko responsible na atalipa...!! JK
Naona Makosa makubwa ya TANESCO ni mawili. i kuwahi kulipipa PAP kabla hata ya kusubiri hukumu juu ya capacity charge na la pili ii. Kutosubiria mgogoro wa umiliki wa IPTL iliijue exactly inamlipa mmiliki halali
Haya mambo mengine ni siasa tu! JK angekuwa ana interest humo kwanini amtake gavana kuhakikisha TANESCO hailipi mara mbili?
 
Kumbe ndiyo maana kuna mgawo wa umeme umezuka ghafla ndani ya wiki mbili zilizopita ambao hata hauna maelezo!!

Duuh, Ngosha naye kanaswa ktk jinamizi la Ufisadi ambalo wenzake wamemwachia.

Na mara nyingi tumesema hapa kuwa jamani CCM hii ni ile ile na kamwe haijabadilika bali zilizobadilika ni sura zikatoka za kale zikaingia mpya zenye uchu wa kula na kufisadi upya!!

Chini ya hawa ndo hatari zaidi na watanzania tukae mkao wa kupigwa kisawasawa!!
 
Wahusika wengi kwenye hili dili ni viongozi waandamizi ndani serikali ya CCM. Hizo pesa zimeshaliwa hilo deni tutalipa sisi kwenye kodi zetu. Tanzania ya viwanda inakuja. ...............
 
Dawa ni kukataa kulipa tu kwani sheria kitu gani, masheria watunge wao yatuumize sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…