Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

'rakini ore wako wewe unayereta majaribu, tutakufungia ri jiwee rikubwa tukutupe paree nyuma ya ikuruu'

In baba jesikaz voice
Haikosi wewe ni Boko Haram umejifunza kiswahili.
 
Je ESCROW ni pesa ya UMMA au ya Singasinga wa CCM?? Hilo ndo nataka kufahamu kwanza kabla ya kuhangaika na maneno meeeeengi ya mwanasheria wa upande mmoja.
Swali hili mbona mzee wa Chamazi aliishalijibu wakati uke alipoongea na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam? Alisema ile pesa haikuwa yetu watanzania ilikuwa ya singa singa.

Ama ukitaka maelezo zaidi mu-inbox JK mwenyewe akutamkie kwa kinywa chake kama bado atakuwa na ubavu wa kuyatamka maneno hayo.
 
Ni vizuri kujipa moyo...kama hakuna mahakama ya kimataifa kwa nini IPTL na TANESCO wanataka kushirikiana kupinga hukumu? Wanapinga wapi? Mahakama kuu ya TZ??? wewe ndio mpotoshaji mkubwa
 
Hiii mahakama ipo na imekuwa critizised kuwa hukumu zake zinalalia private sector kukiwa na case kati ya state na corporation...afu mtu anasema hakuna mahakama kama hiyo...
Sema tu unaweza kupuuza maamuzi ya mahakama kama tunavyopuuza hata za humu ndani...lakini hiyo ya nje wanajua wapi pa kukukaba pindi unapopuuza...
 
Ni vizuri kujipa moyo...kama hakuna mahakama ya kimataifa kwa nini IPTL na TANESCO wanataka kushirikiana kupinga hukumu? Wanapinga wapi? Mahakama kuu ya TZ??? wewe ndio mpotoshaji mkubwa
Unawazungumzia TANESCO kama wana ubavu wa kupingana na IPTL. Kila mtu anajua IPTL imeletwa na nani, na TANESCO siyo kampuni huru inayojisimamia yenyewe. Unanikumbusha watu wanaosema kuwa Israel na Waarabu wamekuwa wanapigana karne nyingi kwa hiyo ni kuwaachia wenyewe, ambapo kila mtu anajua mmoja ana nguvu ya kumuonea mwenzie.
 
Pamoja na kutumbua bado tatizo lipo. Inatakiwa kugusa chanzo kinachopelekea Tanesco kupandisha gharama za Umeme Kwa walaji. Tatizo bado alijaguswa na still gharama za Umeme ni kubwa Sana kwa wananchi ukilinganisha na vipato vyetu.

Rai yangu Kwa Mh Rais

Chanzo cha yote haya ni ESCROW ESCROW ESCROW ESCROW ESCROW.

Jipu la Escrow litumbuliwe haraka Sana hili nchi ipate kupona otherwise bado utumbuaji kwenye Tanesco utakuwa ni Sawa na Kutwanga maji kwenye kinu.

USIPOZIBA UFA, UTAJENGA UKUTA.
 
Rugemarila na wizi wenzie waliiba bilioni 321 za TANESCO kisha mzigo akabebeshwa TANESCO. Pesa zile zilitumika kutoa rushwa kwa watu mbali mbali nchini ikiwemo Wabunge, Majaji, walio ndani ya Ikulu awamu ya nne na baadhi ya watendaji wa juu akiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Muhongo kupoteza ajira zao. lakini cha kushangaza hadi hii leo hakuna aliyeguswa! Waliopokea rushwa bado wanapeta kitaa na pesa zao za rushwa na wezi akina Rugemarila na wenzie nao wanaendelea kupeta kitaa na mabilioni yao na pesa nyingine nyingi wameziweka nchi za nje.
 
na mkuu kaenda kumtumbua mramba mbele ya kilaini(askofu)
 
Reactions: BAK

Ama kweli umemujibu kama haridhiki amutafute bwana musafri, ALISEMA pesa sio za Watanzania, na nani angepinga na ndiye alikuwa akituhifadhia PESA ZETU?
 
na mkuu kaenda kumtumbua mramba mbele ya kilaini(askofu)

Mkuu alikuwa hana madaraka ya kuitumbua LPTL, aliyekuwa madarakani alimutetea Kaladinga akisema siyo pesa za Watanzania ni pesa za kalasinga, huyo ndiyo mutu wa kumulaumu, lakini ingekuwa sasa dili kama hizo zisingepita, kwa hiyo usichanganye CCM iliyopita na hii ya sasa. Hii ya sasa ni ile CCM original ya wapenda haki na inaongozwa na Rais mpenda haki kwa Watanzania wote.
 
Porojo at Work!! Eti alikuwa hana madaraka?! Hivi sasa yeye ndie kashika usukani... unataka kusema hafahamu kwamba Escrow ilikuwa ni wizi? Yaani kwa kuwa aliyemtangulia alisema pesa ni za Singasinga ndo basi tena yeye hawezi kutia neno? SERIOUSLY? Yaani bila aibu unaongea hayo mbele ya kadamnasi?

By the way, yeye anamfanyia kazi JK au anaifanyia kazi serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Amechaguliwa na JK au alichaguliwa na wananchi wa Tanzania? Kuna maana gani basi ya kuwa na Rais ambae ataacha kukifanyia kazi kila atakachoambiwa na aliyemtangulia? By the way, huyo Rais mpenda haki ni yupi? Ni yule yule mwenye kashifa ya kuuza nyumba za serikali; au ni yupi hasa? Ni yule yule ambae alitudanganya Watanzania kwamba Wizara yake imenunua boti safi kabisa kwa mabilioni ya pesa na boti hiyo hadi sasa haijawahi kufanya kazi; au ni rais yupi hasa unayesema mpenda haki? Rais mpenda haki anaweza kutumia mabilioni ya pesa kujenga international airport nyumbani kwao ambako hakuna any flight business potential?
 
Reactions: BAK

Hakuna mnafiki mbaya kama anayefanyia unafiki wake kwakutumia Dini.
 
Tunaomba mwenye bili ya slip ya bili ya umeme tuone kabla ya lile katazo la kwanza la kupanda kwa bei kama kuna mabadiliko yoyote
 
Ahsante sana Mkuu. Nondo tupu hizi.

 
Ile pesa si walishagawana, sijui itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…