Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Mambo ya "MIGA" hayo.Achana nayo uendelee na kula utumbo wa kuku.
 
Umeongea kwa hisia mpaka unaweza kutoa machozi! Jamani! Awa watu hata chembe ya huruma kwa nchi yao hawana??
 
Kuna watawala wenye roho ngumu sana!! wamekomaa tu na DP World pamoja na kuona kilio cha watanzania juu ya jambo hili!!
 
Huko wanatumaliza kwa kweli.

Saa100 una hamu na DP world tena?
 
Walevi wa Madaraka pamoja na chawa watakwambia ni uzushi naniupotoshaji wa kiwango cha mlima everest.
Si wanajua wanalipa kimyakimya wananchi hawajui alafu wanapewa 30% ya hayo malipo wanakula na familia zao!
 
Hawa watu tuanze kuua mmoja baada ya mwingine, vinginevyo wataleta balaa kubwa sana nchini.
 
Lakini si tuliambiwa yule Singasinga mwenye puto tumboni,kampuni yake itarithi MALI na MADENI yote ya IPTL,au mimi ndio nimesahau?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…