Tukanununueni Vigwaza, Chalinze msata, Kibiti, Kkisarawe huko Wala hupigwi na unapewa likiwanja na shamba la kulima kabisaaa, tatizo kutaka kukaa mjini ndio kunatuponza
Kamji ka Bagamoyo nimekapenda sana ni kazuri mara zote kuliko Kibaha na Miji mingine
hao waswahili nitapambana nao mitaizungushia ukuta nyumba nitakayojenga
Nitafutieni kiwanja