kaka mbona wasiwasi sana ulichakachua nini? kuwa na subira kama ulifaulu kwa haki na umetumia vyeti halali usihofu utafanikiwa tu hakuna haja ya kuwa na papara hayo ndo mambo ya CCM kuongeza urasimu tu usiokuwa na tija.
<font size="4">kaka mbona wasiwasi sana ulichakachua nini? kuwa na subira kama ulifaulu kwa haki na umetumia vyeti halali usihofu utafanikiwa tu hakuna haja ya kuwa na papara hayo ndo mambo ya CCM kuongeza urasimu tu usiokuwa na tija. </font>